Gacha simulation

Hebu malizia alfabeti kwa gacha!
10 A=RND(26) 20 ?"DRAW:";CHR$(ASC("A")+A)
Alfabeti 26 kutoka A mpaka Z zinatumika kucheza gacha!. Tumia "RND" ili kucheza.
Hebu onyesha mkusanyiko.
30 [A]=[A]+1 40 FOR I=0 TO 25 50 LC I%6*5,5+I/6*3 60 ?CHR$(ASC("A")+I);":";[I] 70 NEXT
Mpaka imalizike, gacha otomatiki!
5 CLS:CLV 35 N=N+1:C=0 65 IF [I] C=C+1 80 ?:?:?"COLLECT:";C;"/26 "; 90 ?N;"00YEN" 100 IF C=26 ?"COMPLETE!":END 110 GOTO 10
Itagharimu kiasi gani?
Hebu fanya "A" kuwa adimu.
15 IF A=0 IF RND(10)>0 A=1
Ifanye 'probability' yake ya kuwa "B" iwe 9/10 hata kama "A" itajitokeza.
Jaribu sasa!
1. Hebu jaribu mara tatu, na linganisha
2. Hebu fanya kuwa adimu kutoka "A" mpaka "F"
3. Hebu tuhakikishe kuwa "Z" haijitokezi
4. Hebu tuitoe "Z" kwa uwezekano wa 1/2
5. Hebu tuifanye ipandiane (ziwe tofauti)
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp