Population simulation

Idadi ya Wajapani ni Milioni 125. Ilipunguwa kwa ndani ya mwaka mmoja270,000.
(Nov, 2016 Wizara ya Mambo ya Ndani na Mawasiliano, Ofisi ya Takwimu, Uhakikisho wa idadi ya watu)
10 P=12536 20 D=27
Seti idadi ya watu kama "P", na namba inayopungua kama "D", kwa zote uniti iwakilishwe na elfu kumi.
Endapo ikiendelea kupungua katika hali sawa sawa kila mwaka tokea 2016, Idadi ya watu itakuwaje ifikapo 2100?
30 FOR Y=2016 TO 2100 40 ?Y,P; 50 ? 60 P=P-D 70 NEXT
Hebu tuifanye kuwa jedwali ('/' ni alama ya kugawanya).
42 FOR I=0 TO P/1000 45 ?"*";:NEXT
Vipi kama namba inayopungua ikaongezeka kwa 20,000 kila mwaka?
55 D=D+2
Jaribu sasa!
1. Simamisha kwa kibonye ESC na angalia idadi ya watu kwa mwaka 2060
2. Hebu fanya namba inayopungua kuwa 30,000 kila mwaka
3. Hebu badili kibambo "*" kuwa kibambo kingine
4. Hebu badili namba katika mstari wa 42, 1000 kuwa 100
5. Hebu ongeza idadi ya watu
6. Idadi ya watu duniani ni Bilioni 7.3. Itakuwaje kama ongezeko ni Milioni 100 kila mwaka?
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp