Mchezo wa Kuruka

Mchezo wa kuruka ambao unamuepa adui kwa kuruka.
Kwanza, kibambo kikuu kujitokeza!
10 CLS:Y=15:V=0 20 LC 0,Y:?"M"
Kama utabonyeza kibonye chochote, kibambo kikuu kitaruka!
30 IF Y=15 V=3*(INKEY()!=0) 40 Y=Y-V:V=V-1 50 SCROLL LEFT 60 GOTO 20
Kuweka vibambo vya maadui.
25 IF RND(10)=0 LC 31,15:?"K"
Rekebisha kasi.
35 WAIT 4
Ongeza maamuzi ya mchezo-umekwisha, Umemalizika!
37 IF SCR(1,Y) END
Jaribu sasa!
1. Hebu tubadili kibambo kikuu kuwa "R"
2. Badili kibambo kikuu, shikilia kibonye ALT na bonyeza "R"
3. Hebu badili "RND(10)" kuwa "RND(4)"
4. Hebu punguza vibambo vya adui
5. Hebu fanya kasi iwe haraka mno
6. Hebu badili "V=3*" kuwa "V=4*"
7. Hebu punguza nguvu ya kuruka
8. Hebu ongeza alama 'score' kwa kutumia "CLT" na "TICK()"
9. Hebu hesabu na weka alama ya idadi uliyoruka
10. Hebu tengeneza mchezo wa asili kwa kuumba upya
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp