Unganisha programu / LRUN

IchigoJam inaweza kutunza hadi programu nne.
Unganisha programu moja na nyingine, ili iwe ya ustadi sana!
Kwanza, tengeneza mchezo wa chemsha bongo, sehemu kuu ya mchezo.
10 CLS 20 LC10,10:INPUT "1+1=?",N 30 LC12,10:IF N=2 ?"SAFI!!" ELSE ?"SHINDANO LIMEKWISHA!"
Itaonyesha "safi" kama ingizo la jibu ni sahihi! Kama sio itaonyesha "shindano limekwisha"!.
Tunza hili katika faili namba 1.
SAVE1
Ili kuumba kichwa cha programu, awali ya yote tokea mwanzo.
NEW
Kichwa cha programu kufikia mwisho endapo kibonye chochote kitabonyezwa.
10 CLS 20 LC6,7:?"=CHEMSHA BONGO HESABU ZA KIINIMACHO=" 30 WAIT 60 40 LC6,18:?"GONGA KIBONYE CHOCHOTE ILI KUANZA" 50 IF INKEY()=0 CONT
Ongeza komandi iliyounganishwa "LRUN".
60 LRUN1 SAVE0 RUN
Imeunganishwa katika mchezo kutokea kwenye kichwa cha programu!
Jaribu sasa!
1. Hebu fanya iwe jaribu-tena/mchezo-umekwisha kwa "LRUN0"
2. Hebu umba upya kichwa cha programu
3. Hebu umba upya chemsha bongo
4. Hebu ifanye irudi kwenye skrini yenye kichwa cha programu kama mchezo umekwisha
5. Hebu weka kichwa katika "Kawakudari Game"
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp