Kwa komandi ya "FOR"/"NEXT", wakati ukiongeza muundo-wa-herufi X kwa 1, rudia mpaka ifikie 100.
Hebu onyesha kigawe cha 3 tu kwa kutumia alama "%" ambayo inakokotoa baki.
20 IF X%3=0 ?X
Wakati ikionyesha pia kigawe cha 5, tumia "OR" ikimaanisha "either".
20 IF X%3=0 OR X%5=0 ?X
Wakati ikionyesha ile ambayo ni kigawe cha 3 na 5, tumia "AND" ikimaanisha "both".
20 IF X%3=0 AND X%5=0 ?X
Hiki ni "kigawe cha shirika" cha 3 na 5.
Namba ya kwanza, 15 ni "kigawe kidogo cha shirika".
Hebu onyesha "vigawe vya shirika" vya 2 na 3 na 5.
20 IF X%2=0 AND X%3=0 AND X%5=0 ?X
"Vigawe vya shirika" viko 3, na 30 ndio "kigawe kidogo cha shirika" kati ya 1 na 100.
Jaribu sasa!
1. Hebu onyesha vigawe vya 7
2. Hebu onyesha vigawe vya 13
3. Hebu onyesha vyote viwili vigawe vya 7 na vigawe vya 13
4. Hebu onyesha vigawe vya 7 na 13
5. Hebu kwa kasi hesabu viko vingapi vigawe vya shirika vya 3 na 7 kutoka 1 mpaka 1000