Mchezo wa Nekonikoban

Maana ya "Neko ni koban" inakaribiana na "Lulu kwa nguruwe"(upotezaji mkubwa wa rasilimali). "Neko"- "Nyau", "Koban"-"Sarafu" Nyau atajitokeza katika nafasi ya 10 toka kushoto na 5 toka juu.(msimbo wa kibambo ni 236, ALT + C)
10 CLS:X=10:Y=5 50 LC X,Y:?CHR$(236)
Ifanye iweze kusogea kwa kielekezi.
20 K=INKEY() 30 X=X-(K=28)+(K=29) 40 Y=Y-(K=30)+(K=31) 60 WAIT10 70 LCX,Y:?" " 80 GOTO20
Tawanya visarafu kwa uhuru, na ongeza alama/score(S).
15 S=0:FOR I=1 TO 10:LOCATE RND(30),RND(20):?CHR$(245):NEXT 45 IF SCR(X,Y)=245 S=S+1:LC0,0:?S
Mchezo unakwisha ndani ya sekunde 10.
7 CLT 47 IF TICK()>600 END
Jaribu sasa!
1. Hebu onyesha "LIST"
2. Hebu toa idadi kubwa zaidi ya visarafu
3. Hebu tega iwe mchezo-umekwisha ndani ya sekunde 5
4. Hebu iwezeshe kusogea kwa haraka
5. Hebu tufanye alama ziongezeke kwa pointi 10
6. Hebu rekebisha na hifadhi vile upendavyo
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp