ChemshaBongo ya Namba

Hizi ni namba kwa Kiswahili, lugha ya Tanzania.
10 LET[0],"SIFURI","MOJA","MBILI","TATU","NNE","TANO","SITA","SABA","NANE","TISA","KUMI" RUN
Jinsi ya kuonyesha namba kwa neno.
?STR$([1])
Iache kompyuta yako ihesabu!
20 FOR I=10 TO 0 STEP -1 30 ?I,STR$([I]):WAIT60 40 NEXT
Mchezo wa 1: Jibu mchezo wa namba!
20 N=RND(11):?STR$([N]); 30 INPUT ". What's this?",M 40 IF N=M ?"Correct!" ELSE ?"Wrong. The answer is ";N 50 GOTO 20
Mchezo wa 2: Chapa ili kujibu mchezo wa namba!
20 N=RND(11):?"Type ";N 30 FOR I=0 TO LEN([N])-1 40 IF INKEY()!=ASC([N]+I) CONT 50 ?STR$([N]+I,1);:NEXT:? 60 GOTO 20
Jaribu sasa!
1. Ongeza "MCHEZO-UMEKWISHA" katika mchezo wa 1 kama si sahihi
2. Ongeza alama/maksi katika mchezo wa 1
3. Onyesha muda baada ya majibu 10 katika mchezo wa 1
4. Ongeza "MCHEZO-UMEKWISHA" katika mchezo wa 2 kama ukikosea kuchapa
5. Badili lugha kuwa nyingine
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp