Mchezo wa kuchapa Namba

Mchezo wa kuchapa Jina(chapa jina lako katika mstari wa 20!)
10 CLS 20 ?"TAISUKE FUKUNO" 30 CLT:P=0 40 C=SCR(P,0) 50 IF C=0 ?:?TICK()/60:END 60 IF INKEY()<>C CONT 70 ?CHR$(C);:P=P+1 80 GOTO 40
Tayari umezoea?
Umba upya kuwa mchezo wa kuchapa alfabet ABC!
10 FOR I=1 TO 10:?CHR$(65+RND(3));:NEXT
Unaweza kukatisha katika sekunde ya 20??
Umba upya kuwa mchezo wa kuchapa namba!
20 FOR I=2 TO 5:?RND(256);",";:NEXT:?RND(256)
Unaweza kukatisha katika sekunde ya 10?
Kivipi alama zinaweza kuonyeshwa hadi katika nafasi ya kwanza ya desimali?
T=TICK():?T/60;".";T%60/6
Kwa sekunde 0.1, shindana!
Jaribu sasa!
1. Hebu umba upya kuwa mchezo uupendao wa kuchapa maneno
2. Hebu tujifunze maneno magumu ya Kiingereza kwa mchezo wa kuchapa
3. Hebu umba upya kuwa mchezo wa namba jozi
4. Hebu umba upya kuwa mchezo wa kuchapa alfabeti bila mpangilio
5. Hebu umba upya kuwa mchezo wa kuchapa emoji
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp