Siku gani katika wiki ulizaliwa?

Ingizo Mwaka, mwezi, tarehe, na fahamu ni siku gani katika wiki?
Kwa hakika, inaweza kukokotolewa kwa programu.
Kwanza, programu ya kuonyesha siku za wiki.
10 LET[0],"SUN","MON","TUE","WED","THU","FRI","SAT" RUN ?STR$([0])
Tumia "STR$" kuonyesha mwanzo [0] wa tungo"string" ndani ya mkusanyiko"array".
Rudia kutoka Sunday (Jumapili) mpaka Saturday (Jumamosi) kwa siku 7 za wiki.
FOR I=0 TO 22:?STR$([I%7]):NEXT
Tumia "INPUT", weka mwaka katika "Y", mwezi katika "M" na tarehe katika "D".
20 INPUT"Y?",Y 30 INPUT"M?",M 40 INPUT"D?",D RUN
Hebu onyesha maingizo ya mwaka, mwezi na tarehe.
?Y,M,D
"Kanuni ya Zeller" ambayo inakokotoa siku ya wiki kutokana na mwaka, mwezi na tarehe.
50 IF M<3 M=M+12:Y=Y-1 60 H=(Y+Y/4-Y/100+Y/400+(13*M+8)/5+D)%7 70 ?STR$([H])
Ni ya kushangaza kuweza kujua siku katika wiki kwa hii!
Jaribu sasa!
1. Weka tarehe ya leo na angalia leo ni siku gani
2. Siku yangu ya kuzaliwa ni siku gani katika wiki?
3. Siku yangu ya kuzaliwa inayofuata ni siku gani katika wiki?
4. Hebu onyesha siku za wiki kwa lugha nyingine
5. Hebu tengeneza kalenda ya miezi ya kuzaliwa
CC BY IchigoJam print https://ichigojam.github.io/print/sw/ IchigoJam®jig.jp